TRL Dar wakamata mitambo ya Dowans
Na William Mwinuka
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kupitia kwa dalali, Majembe Auction Mart, jana walifunga kufuli mageti ya kuingia kwenye mitambo ya kufua umeme ya Dowans iliyopo Ubungo, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mawakala hao walifika ilipo mitambo
hiyo jana mchana, na bila kuzungumza na mtu, waliweka makufuli ya minyororo
kwa madai kuwa Dowans wanadaiwa Sh bilioni 9.5 kama kodi.
Maoni
Jina
Barua Pepe