Wamiliki pikipiki wana haraka KATIKA gazeti hili leo tumechapisha habari zinazohusu tamko la Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) juu ya usafiri na usafirishaji wa abiria kupitia pikipiki.