|
Karibu kwenye Tovuti yetu na tunaomba maoni yako.
|
|
Ghasia asulubiwa
WIMBI la shutuma nzito dhidi ya mawaziri limeendelea bungeni, baada ya Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, kumshutumu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejmeti ya Utumishi wa Umma), Hawa Ghasia, kuwa kazi imemshinda. |
…Hawa Ghasia ni nani?
JINA lake kamili ni Hawa Abdulrahman Ghasia. Ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) na Mbunge wa Jimbo Mtwara Vijijini (CCM). |
SUMATRA yawaruka wamiliki wa pikipiki
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesema haijawahi kutoa leseni kwa pikipiki za matairi mawili na matatu (Bajaj) na kwamba kuwapo kwa biashara hiyo ni kinyume na sheria. |
Walimu sasa wachunguzana
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kinafanya ukaguzi wa fedha zinazopelekwa mikoani na wilayani, baada ya kuonekana tofauti kubwa kati ya hesabu za fedha zitokazo Makao Makuu na zile zanazotolewa kwenda katika matawi. |
Lala salama kesi ya Zombe leo
HATUA ya mwisho ya usikilizwaji wa kesi ya mauaji ya watu wanne inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na wenzake tisa, inaanza leo katika Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam na kumalizika kesho. |
`Mapato ya mwenge yawekwe hadharani`
WAJUMBE wa Kata za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, wameitaka Kamati ya Maandalizi ya Mwenge wa uhuru, kutoa tathimini ya mapato na matumizi mara tu mwenge unapoondoka. |
Balozi Msumbiji alia kuyumba kwa uchumi
BALOZI wa Msumbiji nchini Amour Kupela amesema mtikisiko wa uchumi duniani umeiathiri kukua kwa uchumi wa nchi yake. |
Maranda aenda Mahakama Kuu
WAFANYABIASHARA Rajabu Maranda na Farijala Hussein, wanaotuhumiwa katika kesi ya wizi wa fedha kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), wamewasilisha Mahakama Kuu nia ya kukata rufaa kupinga uamuzi wa kukutwa na kesi ya kujibu, katika kesi moja wapo ya wizi wa Sh bilioni 1.8 inayowakabili. |