|
Karibu kwenye Tovuti yetu na tunaomba maoni yako.
|
|
Wamiliki pikipiki wana haraka
KATIKA gazeti hili leo tumechapisha habari zinazohusu tamko la Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) juu ya usafiri na usafirishaji wa abiria kupitia pikipiki. |
Wabunge waibue mijadala yenye tija
NI zaidi ya wiki moja sasa tangu Bunge la Bajeti lianze kunguruma mjini Dodoma. Kwa hali halisi, Bunge la aina hiyo ndilo linaloleta taswira ya uchumi kwa mwaka mpya wa fedha. |
Kila la heri wabunge
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kesho linaanza mkutano wake wa bajeti mjini Dodoma ambalo pamoja na mambo mengine, linatarajia kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2009/20010. |
Tuutunze mradi wa maji Kahama
KESHO Rais Jakaya Kikwete, anazindua rasmi mradi mkubwa wa maji yanayosafirishwa kutoka katika Ziwa Victoria hadi katika miji ya Shinyanga na Kahama kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa maeneo hayo waliokuwa wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa maji ya kunywa na mifugo. |
Waliofanya uhuni Wilaya ya Mpwapwa wawajibishwe
KATIKA ukurasa wa mbele wa gazeti hili, tumechapisha habari zinazohusu kashfa ya ugawaji wa vitalu vya madini katika Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma ambako viongozi waliopewa dhamana ya kuvigawa, wameamua kujigaiwia wao wenyewe. |
TRL itabebwa hadi lini?
JUZI, Waziri wa Miundombinu, Dk. Shukuru Kawambwa, alizungumzia maendeleo katika utendaji ndani ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kueleza kuwa bado mambo si shwari katika kampuni hiyo kwa kuwa inategemea kupata fedha serikalini kwa ajili ya kulipa mishahara ya wafanyakazi wake. |
Tutafute mbadala wa chaguzi ndogo
KATIKA ukurasa wa mbele wa gazeti hili jana, tulichapisha habari zinazohusu kufikiwa kwa ukomo wa chaguzi ndogo, wa mwisho ukiwa ni ule wa kumtafuta Mbunge wa Biharamulo Magharibi utakaofanyika baadaye mwaka huu. |
Tuuendeleze utamaduni huu
WANANCHI wa Jimbo la Busanda, lililopo wilayani Geita, Mkoa wa Mwanza, jana walimiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua mtu atakayeliongoza jimbo hilo kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja na miezi sita ijayo. |