|
Karibu kwenye Tovuti yetu na tunaomba maoni yako.
|
|
Makali ya Ukimwi wilayani Kibaha yaanza kupungua
HALI ya vifo kwa wagonjwa wa Ukimwi wanaougulia nyumbani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani, imepungua ikilinganishwa na idadi ya mwaka 2008. |
Dereva wa pikipiki anusurika kifo
MWENDESHA pikipiki na abiria wake wamenusurika kifo baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso katika maeneo ya Tumbaku mjini hapa. |
Wanakijiji walalamikia mikutano
WAKAZI wa Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki wilayani Moshi Vijijini wameulalamikia uongozi wa kijiji hicho kwa kushindwa kuitisha mkutano wowote kuwajulisha taarifa za mapato na matumizi ya kijiji tangu mwaka 2006. |
Jela kwa kuvamia Ikulu Singida
MFANYABIASHARA wa Unyankindi mjini hapa, Zakayo Emmanuel (27), amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Singida kutumikia jela miezi sita, baada ya kupatikana na hatia ya kuingia Ikulu ndogo kwa nia ya kufanya uhalifu. |
Wakulima Moro watakiwa kubadilika
WAKULIMA wametakiwa kuachana na kilimo cha asili kisichozingatia matumizi ya mbegu na kanuni bora kwa lengo la kuzalisha mazao kwa wingi. |
RAS alia na bandari bubu mkoani Tanga
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Tanga, Paul Chikira, ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani hapa kuongeza doria katika pwani ya Bahari ya Hindi ili kukabiliana na wimbi la bandari bubu ambazo zimekuwa zikichangia kuikosesha Serikali mapato. |
`Uwekezaji haujasaidia kutoa ajira ya kutosha`
UWEKEZAJI nchini haujasaidia kutoa ajira ya kutosha katika sekta mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kukua kwa sayansi na teknolojia. |
Ataka watoto wasitumiwe kuuza pombe ya kienyeji
MKUU wa Wilaya ya Siha, Annarose Nyamubi amewataka baadhi ya wazazi kuacha tabia za kuwatumikisha watoto wao kufanya biashara ya kuuza pombe za kienyeji na badala yake wawalee katika msingi itakayowasaidia katika maisha yao. |